CLIP YA LINAH YAZUA GUMZO MTANDAONI.

Msanii ni kioo cha jamii, na watu wengi hutamani sana kupata mafanikio makubwa kama wasanii au hupenda zaidi kuishi maisha kama ya wasanii. Wengu huwachukulia kama mifano bora ya kuigwa. Siku chache zilizopita ilisambaa video ikimwonyesha msanii Linah akiwa kitandani huku akionyesha sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa bila ya nguo.
Nafikiri Linah kama msanii kitendo alichokifanya si cha busara kabisa kwani kuna mambo ambayo yanatakiwa kubaki chumbani na kuna mambo anatakiwa kuyaonyesha kwa mashabiki wake. Wengi wa walioina video hiyo waliishia kumlaumu kwa alichokifanya.
Unaweza itazama video hiyo hapa chini.
Story By:@Joplus_


Source: Raha za walimwengu