Chata G ft Zido, Magga V & Byoka – Doli

Chata G ft Zido, Magga V & Byoka wanakusogezea full package ya ngoma “DOLI” ikiwa ndio new release toka Kalizone records chini ya producer Fex, Beat ikiwa imeundwa na Nexi Beats, Watch video & download mp3 audio pia share good music all over na marafiki