Belle 9 adai wasanii hawakazi Kiuandishi.

Staa wa ngoma ya Sumu ya Penzi, Belle 9 amezungumzia sababu zinazosababisha muziki kutodumu kwa miaka ya sasa tofauti na zamani.

kuwa wasanii wengi wanashindwa kujiandaa vya kutosha kwenye ngoma zao kabla ya kutoa.

“Kwa uzoefu wangu mimi muziki kwa sasa kutokudumu kwa muda mrefu nadhani watu hawajawekeza zaidi kwenye uwandishi,” amesema.

“Halafu pia hata Marekani na mataifa mengine hiyo ishu huwa inajitokeza. Kuna kipindi fulani muziki unawahi kuisha ladha, so mimi naamini hiki ni kipindi tu na kitapita japo mimi sio mmoja kati ya wahanga wa hilo janga kwasababu najaribu kufanya ninavyoweza kwa uwezo wangu, kuwa mbunifu na muziki wangu kuweza kudumu,” amesisitiza.

Source: Dizzim online