Artist ft Boblim – Only One Beatchorus

Pakua Beatchorus “BURE” toka kwa mkali “Boblim” na hii ni maalum kwa msimu wa Funga Mwaka katika kuendeleza support kwa wasanii wa Nyumbani kufanya ngoma nzuri zenye ubora na pia kuleta ushindani katika uandishi wa “Verse Kali”.Vigezo ni Simple tu, Pakua beatchorus, Chora Mistari kisha fika Noizmekah Studios kurekodi kwa kuchangia elfu 30 Tu. Hii ni offer ya muda maalum na fursa kwa wasanii wote ndani wa Kaskazini Tanzania.

https://show.co/HWPoqGw