Amber Rose amshuhudia boyfriend wake.

“He’s going to be such an Amazing pilot ❤️,” Amber Rose aliandika kwenye Instagram mara baada ya ndege ndogo iliyokuwa ikiendeshwa na boyfriend wake, 21 Savage kutua

He’s going to be such an Amazing pilot ❤️

A post shared by Amber Rose (@amberrose) on

Rapper huyo alipaisha ndege kwa mara ya kwanza huku Amber Rose akirusha live kwenye InstagramMara baada ya miezi mitano ya kujifunza urubani, rapper huyo alikabidhiwa ndege aina ya Cirrus SR20 kuirusha kwa saa nzima huko Florida huku mpenziwe Amber akimshangilia.“My baby is flying a plane right now,” Rose alisema akiwa ndani ya ndege. “I’m so nervous!”21 Savage amekuwa na ndoto ya kuwa rubani na ndoto yale imetimia mwaka huu kwa kupata leseni yenye gharama ya $10,000.

Source: Dizzim Online.