Wanaume Wenye Umri Mkubwa Hatarini Saratani ya Kinywa Kwa Kunyonya Sehemu za siri

 
Imebainika wanaume wengi hasa wenye umri mkubwa wapo katika hatari ya saratani ya kinywa zaidi kuliko wanawake kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo tabia ya wanaume kufanya mapenzi ya kunyonya sehemu za siri za wanawake.

Akibainisha, Dk. Alex Eliakim kutoka chuo cha madaktari wa meno amesema pamoja na tabia hiyo ya kujamiiana kupitia kinywa pia sababu nyingine ni utumiaji wa kileo na tumbaku. Alisema wanaume wananyonya sehemu za siri za mwanamke huchukua bakteria ambao wanaleta msuguano na bakteria wa kinywa na kusababisha magonjwa.

@moodyhamza